Kalasinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: oc:Sikhisme
d roboti Nyongeza: lad:Sihizmo; cosmetic changes
Mstari 3:
'''Kalasinga''' ([[Kipunjabi]] ਸਿੱਖੀ sikhi; pia: '''Usikhi''') ni [[dini]] yenye asili ya [[Uhindi]] inayomwabudu [[Mungu]] mmoja tu. Wafuasi wake huitwa Kalasinga au Sikh na kitabu kitakatifu chao ni [[Guru Granth Sahib]].
 
== Uenezi ==
Idadi ya wafuasi ni takriban milioni 20 na wengi wao wanaishi Uhindi katika jimbo la [[Punjab]]. Kutokana na uhamiaji kuna pia jumuiya za Kalasinga huko [[Uingereza]], [[Marekani]], [[Kanada]], [[Malaysia]], [[Singapore]] na sehemu mbalimbali za dunia, zikiwa na pamoja na nchi za [[Afrika ya Mashariki]].
 
== Historia ==
[[Picha:GuruNanakwalking.jpg|thumb|200px|left|Picha ya Guru Nanak.]]
Kalasinga ilianzishwa katika [[karne ya 15]] na [[Guru Nanak]] aliyezaliwa katika [[familia]] ya [[Uhindu|Kihindu]] wakati wa utawala wa [[Uislamu|Waislamu]] juu ya Uhindi ya kaskazini.
Mstari 108:
[[ko:시크교]]
[[la:Sichismus]]
[[lad:Sihizmo]]
[[lt:Sikhizmas]]
[[lv:Sikhisms]]