Snorri Sturluson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Mjanja (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Luckas-bot
Mstari 1:
'''Snorri Sturluson''' ([[KiaisilandiKiiceland]] ''Snorri mwana wa Sturla'', * [[1178]]; † [[22 Septemba]] [[1241]]) alikuwa mshairi, mwandishi wa historia na kiongozi wa kisiasa nchini [[AisilandiIceland]].
 
Anajulikana hasa kama mtungaji wa kitabu cha [[Edda]] kinachokusanya habari za utamaduni na dini ya AisilandiIceland ya kale kabla ya kufika kwa [[Ukristo]] pamoja na kanuni kwa kazi ya mshairi na mwimbaji wa shairi zinazosimulia historia ya taifa. Aliandika pia historia ya wafalme wa [[Norwei]].
 
Mwenyewe alipokea mafunzo ya kuandika na kusoma, pia lugha ya [[Kilatini]], elimu ya dini ya Kikristo na sheria ya KiaisilandiKiiceland. Wazazi walimkabidhi kwa chifu mkubwa aliyemlea kijana.
 
Alichaguliwa baadaye mara mbili kama msimamizi wa [[Althing]] iliyokuwa bunge la AisilandiIceland.
 
{{mbegu-mtu}}