Udeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Mjanja (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Ripchip Bot
Mstari 1:
{{Infobox Country|
native_name = ''Kongeriget Danmark'' |
conventional_long_name = Ufalme wa DenmakiDenmark |
common_name = DenmakiDenmark |
image_flag = Flag of Denmark.svg |
image_coat = National Coat of arms of Denmark.svg |
Mstari 8:
image_map = LocationDenmark.png |
national_anthem = ''[[Der er et yndigt land]]'' (kitaifa);<br />''[[Kong Christian]]'' (kifalme) |
official_languages = [[KideniKidenmark]]<sup>1</sup> |
capital = [[Kopenhagen]] |
latd=55|latm=43|latNS=N|longd=12|longm=34|longEW=E|
government_type = [[Ufalme wa kikatiba]] |
leader_titles = [[Wafalme wa DenmakiDenmark|Malkia]] <br /> [[Mawaziri Wakuu wa DenmakiDenmark|Waziri Mkuu]]|
leader_names = [[Margrethe II wa DenmakiDenmark|Margrethe II]]<br /> [[Lars Løkke Rasmussen]]|
leader_name2 = |
largest_city = [[Kopenhagen]] |
Mstari 50:
calling_code = 45<sup>3</sup> |
vehicle_code = DK |
footnotes = <sup>1</sup> Habari zote za DenmakiDenmark bila [[Faroe]] na [[GrinlandiGreenland]].
}}
[[Picha:Da-map.png|left|thumb|330px|left|Ramani ya DenmakiDenmark]]
 
'''DenmakiDenmark''' (pia '''''DenimakiDenmaki''''' (au '''''DenmakDenimaki'''''; [[Kideni]]:au ''Kongeriget Danmark'';'Denmak''''') - [[KiingerezaKidenmark]]: '''''Denmark'''Kongeriget Danmark'') ni ufalme ya [[Ulaya]] ya Kaskazini. Ni nchi ndogo kati ya nchi za [[Skandinavia]]. Imepakana na [[Ujerumani]] kwa kusini na kuzungukwa na maji pande tatu. Kaskazini yake iko [[Norwei|Unowe]] ng'ambo ya mlango wa bahari ya [[Skagerak]], mashariki iko [[Uswidi]] ng'ambo ya [[Kattegat]] na [[Oresund]]. [[Bahari ya Kaskazini]] iko upande wa magharibi, [[Baltiki]] inaanza kwenye visiwa vikuu vya DenmakiDenmark.
 
=== Eneo ===
DenmakiDenmark ina eneo la 43.000&nbsp;km². Theluthi ya eneo hili ni kwenye visiwa 443 vya DenmakiDenmark ambavyo 76 kati vyao vinakaliwa na watu.
 
Rasi ya [[Jutland]] ni sehemu kubwa ya eneo. Jutland ni DenmakiDenmark bara. Ina urefu wa 300&nbsp;km kuelekea kaskazini kutoka mpaka wa Ujerumani hadi ncha yake kwa [[Skagen]].
 
Kwa jumla DenmakiDenmark iko tambarare. Mlima wa juu ina kimo wa 170 [[m]] juu ya [[UB]] pekee.
 
Visiwa vikubwa ni [[Funen]] (''Fyn''), [[Zealand]] (''Sjælland'') na [[Bornholm]] (''Bornholm'').
 
[[GrinlandiGreenland]] na visiwa vya [[Faroe]] ni sehemu ya ufalme wa DenmakiDenmark lakini zinajitawala.
 
== Historia ==
{{main|Historia ya DenmakiDenmark}}
 
WadeniWadenmark wa kwanza waliojulikana katika historia kwa jina ni makabila ya Wakimbri na Wateutonia waliohamia hadi Ulaya ya kusini wakati wa njaa mnamo mwaka 113 KK.
 
Katika karne za 8 hadi ya 11 [[BK]] majambazi wa baharini kutoka DenmakiDenmark na UnoweNorway waliogopwa kote Ulaya kwa jina la "[[WavikingiWaviking]]".
Walivamia pia [[Uingereza]] mara kwa mara na kujenga makao huko. Tangu mwaka 793 walitawala eneo la ''Danelag'' ([[Kiswahili]]au: [[Sheria ya WadeniDanelaw]]) iliyoenea katika kaskazini na kaskazini-mashariki ya Uingereza wa leo.
 
Katika karne ya tisa na karne ya kumi maeneo madogo yaliunganishwa. Wafalme wa kwanza wanaojulikana kutawala DenmakiDenmark yote walikuwa [[Garm Mzee]] na [[Harald Jino Buluu]] (mnamo mwaka 980 BK). Harald alikuwa mfalme wa kwanza wa kupokea [[Ukristo]] wa kikatoliki. DenmakiDenmark ikawa nchi yenye nguvu katika Skandinavia na kwenye pwani za Baltiki.
 
Kati ya 1397 hadi 1521 nchi zote za Skandinavia ziliunganishwa katika [[maungano ya kifalme]] chini ya wafalme wa DenmakiDenmark ilhali kila nchi ilijitawala katika mambo ya ndani. Baada ya Uswidi kujitenga na umoja huu Norway iliendela kuwa chini ya DenmakiDenmark hadi mwaka 1814.
 
Mwaka 1537 DenmakiDenmark ilijiunga na mwendo wa [[Matengenezo ya Kanisa]] na [[kanisa la Kiluteri]] likawa [[dini rasmi]] nchini. DenmakiDenmark ilikuwa kati ya nchi muhimu sana ya Uluteri.
 
Baada ya vita za [[Napoleoni]] DenmakiDenmark iliondolewa utawala wa Norway iliyounganishwa na Uswidi mwaka 1814. Lakini koloni za GrinlandiGreenland, AisilandiIceland, Faroe na visiwa vya Karibi zilibaki kwa nchi.
 
Karne ya 19 ilileta fitina na Ujerumani juu ya utawala wa [[Schleswig]] na [[Holstein]]. Baada ya vita ya 1864 DenmakiDenmark ilipaswa kuacha majimbo haya mawili kwa Ujerumani.
 
DenmakiDenmark haikushiriki katika [[Vita Kuu ya Dunia ya Kwanza]] lakini ilirudishwa sehemu ya kaskazini ya jimbo la Schleswig.
 
Wakati wa [[Vita Kuu ya Dunia ya Pili]] DenmakiDenmark ilivamiwa na Ujerumani mwaka [[1940]] hadi 1945. Wakati wa vita [[AisilandiIceland]] iliamua kutangaza uhuru wake. 1948 mara baada ya vita visiwa vya [[Faroe]] vilipewa madaraka ya kujitawala lakini vilibaki ndani ya umoja na DenmakiDenmark. Koloni ya [[GrinlandiGreenland]] ilipewa madaraka haya mwaka 1979.
 
DenmakiDenmark ikawa kati ya nchi zilizounda [[UM]] na pia [[NATO]]. Mwaka 1973 ikajiunga na [[Jumuiya ya Ulaya]] (sasa: [[Umoja wa Ulaya]]).
 
== Waja ==
Mstari 97:
{{Ulaya}}
 
[[Jamii:DenmakiDenmark| ]]
 
{{Link FA|be-x-old}}