Tofauti kati ya marekesbisho "Adamu"

111 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
d (r2.6.4) (roboti Nyongeza: kk:Адам Ата)
[[Image:God2-Sistine Chapel.png|300px|thumb|right|[[Uumbaji]] wa Adamu ulivyochorwa ([[1511]]) na [[Michelangelo Buonarroti]] Buonarroti katika [[Cappella Sistina]], huko ([[1511Vatikano]]). niNi mojawapommojawapo kati ya michoro maarufu zaidi duniani.]]
[[Image:Formella 01, la creazione di Adamo, andrea pisano 1134-1136.JPG|thumb|250px|left|250px|''Uuumbaji wa Adamu'' kadiri ya [[Andrea Pisano]], [[1334]]-[[1336]]]]
 
'''Adamu''' (kwa [[Kiebrania]]: אָדָם maana yake ''mtu'', ''mtu wa udongo'', ''chaudongo'', au ''wa udongo mwekundu'') ni jina analopewa mtu wa kwanza katika [[Biblia]]. Anatajwa na [[Kurani]] pia.
 
Kadiri ya [[kitabu]] cha [[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]], alizaliana na [[mke]] wake [[Eva]] watu wote waliopo duniani, ambao kwa sababu hiyo wanaitwa [[binadamu]]; kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe [[Kaini]], [[Abeli]] na [[Set]].
 
==Katika Biblia==
[[Image:Adam with a Lion.jpg|thumb|right|250px200px|[[Heinrich Aldegrever]], ''Adamu na simba'', wakiishi kwa amani kabla ya [[Dhambi ya Asili]]]]
[[Image:Dettaglio duomo Orvieto2.jpg|250px|thumb|left|Eva akiumbwa kwa ubavu wa Adamu alivyochongwa na ([[Lorenzo Maitani]] na shule yake, upande wa mbele wa [[Kanisa kuu]] la [[Orvieto]]).]]
[[Uumbaji]] wa watu wa kwanza unasimuliwa na kitabu cha Mwanzo mara mbili: katika 1,26-28 na katika 2,7-22.
 
Masimulizi hayo yanayotofautiana katika vipengele mbalimbali hayadai yachukuliwe kama habari za [[historia]] zinazoandikwa siku hizi. Yanatokana na tafakuri ya kina juu ya hali ya [[binadamu]] kwa lengo la kuelewa asili yake.
 
==Katika Kurani==
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Category:Watu wa Kurani]]
[[Jamii:Manabii katika Uislamu]]
 
[[ace:Adam]]