Daudi (Biblia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: it:Davide
No edit summary
Mstari 8:
Kati ya matendo yake yaliyokumbukwa zaidi ni ushindi juu ya Mfilisti [[Goliathi]].
 
Pamoja na makosa yake, Daudi akabaki kielelezo cha mfalme wa Israeli, ambaye awe tofauti na watawala wengine wote kwa kuwa hasa mtumishi mnyenyekevu wa [[Mungu]].
 
== Habari zake katika [[Vitabu vya Samweli]] ==
 
[[1Sam]] 9:11-10:16 inasimulia [[Sauli]] alivyoteuliwa kuwa mfalme wa kwanza. Akitawala karibu miaka ishirini, alifanya makosa na kulaumiwa na [[Samweli]], hata akakataliwa kabisa na [[Mungu]] kwa kutomtii kikamilifu (1Sam 15). Ingawa akaendelea kutawala kwa muda fulani, polepole alijitokeza kijana Daudi ambaye akaja kuanzisha ukoo wa kifalme wa milele.
 
1Sam 16-17 inaanza kutuletea mkusanyo wa hadithi juu ya Daudi ambazo zinampatia sifa aliyostahili, ingawa nyingine zinagongana: k.mf. kama aliingia katika utumishi wa Sauli kutokana na uhodari wake katika [[muziki]] au katika [[vita]]. Uhodari huo wote ukaendelea kusifiwa ila Daudi aliutumia kwa [[utukufu]] wa Mungu: ndiye aliyeingiza [[ala]] mbalimbali katika [[ibada]] na kutunga [[zaburi]] kadhaa, na ndiye aliyeeneza utawala wa Israeli kuliko yeyote.
Mstari 18:
Kadiri alivyozidi kupendwa na Mungu na watu, Sauli alimchukia kwa [[kijicho]] na kutaka kumuua (1Sam 18:6-16). Daudi alipolazimika kukimbia na kuunda kikosi chake akapata nafasi rahisi ya kumuua Sauli lakini alijizuia kwa kuheshimu [[krisma]] aliyopakwa awe mfalme (1Sam 24 na 26): hivyo ni mfano bora wa kujali [[wito]] wa Kimungu.
 
Baada ya kufanywa mfalme wa [[kabila]] lake ([[Kabila la Yuda|Yuda]], yaani Kusini) na ya kupigana [[vita]] na mwana wa [[marehemu]] Sauli, Daudi akakubaliwa kuwa mfalme wa Israeli yote (yaani Kaskazini pia): pamoja na taarifa hiyo, [[2Sam]] 5:1-12 inatuambia alivyoteka Yerusalemu uliokuwa bado mikononi mwa [[Wapagani]] akaifanya makao makuu ya kisiasa na ya kidini ya taifa lote la Mungu ili aunganishe Kaskazini na Kusini katika mji huo uliopo katikati. Kuanzia hapo [[Yerusalemu]] ukawa mji mtakatifu wa [[dini]] tatu zinazomuabudu Mungu wa [[Abrahamu]].
 
2Sam 6 inasimulia [[sanduku la agano]] lilivyohamishiwa Yerusalemu kwa shangwe kubwa; hasa Daudi alicheza mbele ya Mungu kwa nguvu zake zote huku amevaa nguo ndogo ya kikuhani tu, bila ya kujijali kama mfalme.
Mstari 42:
[[Kitabu cha Zaburi|Zaburi]] nyingi zinamtaja Daudi kama mwandishi au zimeandikwa kwa heshima yake.
 
==Daudi katika Kurani==
[[Qurani]] inafundisha kwamba DaudiDawd (داود) alikuwa [[mtume]] wa [[Allah]] aliyepewa kitabu cha "Zabur".
 
{{mbegu-mtu-Biblia}}
Line 49 ⟶ 50:
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Watu wa Kurani]]
[[Jamii:Manabii wa Agano la Kale]]
[[Jamii:Manabii katika Uislamu]]