Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Andromeda galaxy.jpg|thumb|300px|Galaxi ya Andromeda yenye na. M 31 na galaksi mbili ndogo za kando M 32 na M 110]]
'''Galaksi''' ni kundi la [[nyota]] nyingi zinazoshikamana pamoja
Galaksi yetu ikiwemo [[mfumo wa jua]] letu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama kanda la kung'aa kwenye anga la usiku linalojulikana kama [[njia nyeupe]]. Umbo lake unafanana na kisahani ikiwa kipenyo chake ni [[mwaka wa nuru|miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000. Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda]] ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5 .
|