Njia Nyeupe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
masahihisho
Mstari 10:
== Kuonekana kwa Njia Nyeupe kutoka duniani ==
 
[[Nyota]] karibu zote zote tunazoona kwa macho yetu wakati wa usiku ni sehemu za Njia Nyeupe. Wakati wa giza tunaweza kuona kati ya nyota 3,000 hadi 5,000 kwa macho yetu bila msaada wa [[hadubinidarubini]]. Isipokuwa [[sayari]] chache za jua letu na [[kometi]] ''(zinazoonekana mara chache tu)'' na [[galaksi ya Andromeda]] ''(inayoonekana kama nyota 1)'' nyota zote ni majua kama jua letu. Si rahisi kuona nyota nyingi tukiwa mjanimjini penye nuru nyingi wakati wa usiku kwa sababu mwanga wa taa za mjini unaakisiwa katika [[angahewa]] na kuleta matata ya kuona mwanga kutoka nje ya angahewa.
 
Nyota zilizo nyingi kabisaza Njia Nyeupe hatuwezi kuziona wala kubainisha kwa hiyo zinatokea machoni kama ukungu mweupe tu.
 
Uwezo wetu kuona nyota nyingi umepungukiwa na kuwepo kwa [[mavumbi ya kinyota]] kati ya mahali petu na kitovu cha galaksi.