Njia Nyeupe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masahihisho
masahihisho
Mstari 1:
[[Picha:Njia nyeupe angani.jpg|thumb|250px|Njia nyeupe jinsi inavyoonekana usikun (Mistari mekundu kuonyesha mipaka yake; sehemu ya chiniya picha inafichwa na mti]]
[[Picha:Hubble2005-01-barred-spiral-galaxy-NGC1300.jpg|thumb|250px|Galaksi yetu jinsi inaaminiwa kuonekana vile kama tunaiangalia kutoka juu; picha ya galaksi ya mbali yenye mikono miwili ya pafafujoparafujo]]
 
'''Njia nyeupe''', pia '''majarra''' au "mkokoto wa kondoo za Sumaili" <ref>yaani njia ya kondoo wa Ismaili; kuhusu majina ya nyota na sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia linganisha Jan Knappert, Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> ni jina kwa kanda la nyota nyingi inaloonekana wakati wa usiku angani kama wingu neupe linalong`aa.