Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Andromeda galaxy.jpg|thumb|300px|Galaxi ya Andromeda yenye na. M 31 na galaksi mbili ndogo za kando M 32 na M 110]]
 
'''Galaksi''' ni kundi la [[nyota]] nyingi zinazoshikamana pamoja katika [[anga la umlimwengu]] zikishikwa na [[gravitygraviti]] yao. Nyota hupatikana angani katika makundi kama mawingu makubwa sana. Kuna galaksi nyingi sana ulimwenguni. Kwa wastani kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama bilioni 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.
 
Galaksi yetu ikiwemo [[mfumo wa jua]] letu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama kanda la kung'aa kwenye anga la usiku linalojulikana kama [[njia nyeupe]]. Umbo lake unafanana na kisahani ikiwa kipenyo chake ni [[mwaka wa nuru|miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000. Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda]] ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5 .