Angahewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
*[[Tabakakati]] (mesosphere) - inaishia kwa kimo cha 80 - 85 km; hapa baridi inazidi jinsi unavyopaa; kuna upepo mkali.
*[[Tabakajoto]] (thermosphere) - inaishia kwa kimo cha 500 - 600 km; joto linapanda pamoja kimo; tabaka hii ni muhimu kwa mawasiliano ya redio kwa sababu inaakisisha miale ya redio ya AM.
*[[Tabakanje]] (exosphere) - ni tabaka la nje inayoanza kati ya 500- 1000 km na kuwa hafifu kadri unayopaa juu zaidi; inafikiakilomita maelfu hadi kwa kimo cha takriban 10,000 heaambako hewa haipimiki tena
 
Tabaka za juu yaani tabakajoto na tabakanje huitwa pia [[tabakaioni]] kwa sababu [[atomi]] za gesi zake zinapatikana katika hali ya [[ioni]] zilizopoteza [[elektroni]] kutokana na kupigwa na miale ya jua.