Tandala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 21:
''[[Tragelaphus scriptus|T. scriptus]]'' <small>([[Peter Simon Pallas|Pallas]], 1766)</small><br>
''[[Tragelaphus spekii|T. spekii]]'' <small>([[Philip Lutley Sclater|Sclater]], 1863)</small><br>
''[[Tragelaphus strepsiceros|T. strepsiceros]]'' <small>(Pallas, 1766)</small><br>
''[[Tragelaphus sylvaticus|T. sylvaticus]]'' <small>[[Anders Erikson Sparrman|Sparrman]], 1780</small>
}}
'''Tandala''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[jenasi]] ''[[Tragelaphus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. Spishi nyingine huitwa [[bongo]], [[kulungu]], [[nyala]] au [[nzohe]]. Wanatokea [[Afrika]] katika maeneo yenye [[mti|miti]] kutoka nyika hadhi msitu. Wana milia na madoa nyeupe juu ya rangi ya [[kahawa]] au kijivu. Dume ni kubwa kuliko jike na ana pembe ndefu zilizopopotolewa. Jike hana pembe. Wanyama hawa hula [[jani|majani]], [[nyasi|manyasi]], [[tunda|matunda]] na [[kiazi|viazi]] vya gugu.