Kontena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{wrapper}} |thumb|right|200px|Wafanyakazi wanafunga kontena pamoja kwenye meli |- |[[Image:Line3174 - Shi...'
 
No edit summary
Mstari 28:
 
Siku hizi kuna malori mengi pia mabehewa ya reli ambayo yamejengwa kikamilifu kupokea kontena.
[[Picha:Ravensburg BA-Container.jpg|thumb|Nyumba iliyojengwa kwa kutumia kontena zilizoongezwa madirisha na milango]]
 
==Matumizi mengine ya kontena==
Kuna pia kontena zilizoandaliwa kwa matumizi ya makazi ya watu kwa hiyo inawezekana kuunganisha makontena ya aina hii kupata jengo la kukaa watu au ya ofisi haraka sana.