Mahindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
d →‎Matumizi.: "http://en.wikipedia.org/wiki/File:" → "Picha:"
Mstari 46:
 
 
==Matumizi.==
[[http://en.wikipedia.org/wiki/FilePicha:CornShocksForestvilleMinnesota2006.JPG|thumb|mahindi yakivunwa kwa namna ya asili]]
mahindi yakivunwa kwa namna ya asili.
 
===Kama chakula.===
 
Mahindi hutumika kama chakula kikuu kwa maeneo mengi duniani. Mlo wa mahindi huliwa kama uji mzito (mfano Tanzania na Nchi nyingi wa Afrika Mahsariki huita “ugali”), katika tamaduni nyingi: kuanzia huko Italia kama poleta, Brazili kama angu, Romania kama mamaliga mpaka mush huko Marekani au sadza, nshima, ugali na mealie pap katika Afrika. Mlo wa mahindi pia hutumika badala ya unga wa ngano, kutengeneza baadhi ya aina ya mikate na vyakula vingine vya kuoka.
Line 56 ⟶ 55:
Chicha na “chicha morada” ni baadhi ya vinywaji maarufu vinavyotengenezwa kwa aina fulani ya mahindi. Hicho cha kwanza huchachushwa na huwa na kilevi, huku cha pili ni kinywaji baridi na hunywewa sana huko Peru.
 
[[Picha:Sweet White Corn.jpg|thumb|mahindi aina ya Sweet White Corn]]
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Sweet_White_Corn.jpg]]
mahindi aina ya Sweet White Corn
 
mahindi pia yana wezsakutunmiwa yakiwa hayajaiva, wakati yamekomaa lakini bado ni laini. Katika hali hii huweza kuchemshwa ili kuwa na ladha nzuri, na kula punje zake kutoka kwenye gunzi. Wakati mwingine mbegu hizo kisha kuchemshwa hupukuchuliwa na kuchanganywa na mboga majani nyingine kama vile saladi wakati wa kuandaa chakula. Pia huweza kupikwa na vykula vingine kutoa mchanganyiko wa makande, purée, tamales, pamonhas, curau, keki, n.k. mahindi aina ya Sweet Corn huwa na ladha nzuri sababu ya kiasikikubwa cha sukari na wanga mpaka kuweza kuliwa yakiwa katika hali ya ubuchi.