Ufalme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 27:
==Ukoloni na ufalme==
[[Ukoloni]] wa [[karne ya 19]] ulisababisha kupotea kwafalme nyingi dunani. Mwanzoni wakoloni walitumia mara nyingi wafalme na watemi waliokuwepo kama makala wa utawala wao ndani za koloni. Lakini kadri walivyounganisha falme mbalimali za kale ndani ya maeneo mapya makubwa yaliyoendelea kuwa mataifa mapya walidhoofisha pia nafasi ya ufalme wa kieneo. Nchi za [[Afrika]] zilipopata uhuru mara nyingi zilijitangaza kuwa jamhuri na kwa njia hii falme za kale za Afrika ama zilifutwa au kupoteza madaraka za kiutawala na kubaki kwa jina tu kama taasisi za kiutamaduni.
[[Picha:World Monarchies.pngsvg|thumb|300px|Nchi zenye mfumo wa ufalme<br> nyekundu: Ufalme bila masharti ya kikatiba; chungwa: ufalme chini ya masharti kiasi ya kikatiba; kijani: ufalme wa kikatiba; kijani kibichi: nchi za [[Jumuiya ya Madola]] chini ya malkia wa Uingereza; dhambarau: ufalme wa kieneo chini ya ngazi ya jamhuri ya kitaifa]]
 
==Ufalme leo==