Kontena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: nl:Container (kist)
No edit summary
Mstari 6:
|[[File:Container_02_KMJ.jpg|thumb|200px|Kona za kontena]]
|}
'''Kontena''' (Kiing. '''container''' ) ni sanduku kubwa la metali -hasa [[feleji]]_ ambayo vipimo vyake vimesanifishwa kwa matmizimatumizi ya kimataifa. Kontena hutumiwa kutunza na kusafirisha bidhaa za kila aina kwa [[meli]], [[lori]] au [[reli]]. Kontena ndogo kusafirishwapiahusafirishwa pia kwa [[ndege]].
 
Kontena zimepunguza sana kiwango cha kazi na gharama kinachohitajika kusafiishakusafirisha mizigo. Zilianza kutokea mnamo 1956 huko [[Marekani]] kwa matmizimatumizi ya mizigo ya kijeshi zikaenea pia upanda wa meli za kiraia.
 
==Tofauti zilizoketwazilizotokea kwa matumizi ya kontena==
Kabla ya kupatikana kwa kontena meli kubwa ilijazwa mizigo yake kwa msaada wa wafanyakazi mamia waliobeba bidhaa gunia kwa gunia ndani ya meli na kuzipakiza katika chumba cha mizigo. Bidhaa ziliwekwa katika magunia au katika masanduku yaliyotengenezwa kwa ubao kwa kila aina ya mzigo. Zilijazwa katika malori au mabehewa ya mizigo ya reli, kupelekwa bandarini na hapo kuondolewa katika lori au kwenye behewa na wafanyakazi waliojaza nyavu iliyovutwa na winchi kubwa hadi kwenye meli. Hapa nyavu ulifunguliwa na wafanyakazi walichukua yale magunia au masanduku na kuzipanga katika nafasi za kubeba mizigo. Wakati meli ilifika bandari nyingine kazi ilirudishwailirudia: wafanyakazi wengi walihitajika kubeba nidhaabidhaa kutoka vyumba vya meli, kuzipanga katika nyavu zilibebwa kwaakwa winchi hadi nje ya meli, halafu hapa kusambazwa na wafanyakazi juu ya malori au mabehewa ya usafiri; mara nyingi kwanza hadi ghala ya bandarini na baadaye baada ya kuzipakiwakuzipakia tena kwenye usafiiusafiri wa nchi kavu hadi mahali palipotakiwa.
 
Kontena ilibadilisha mtindo huu. Sasa bidhaa zinaingizwa katika kontena kiwandani au kwenye ghala. Kontena inahamihswa juu ya lori au behewa ya treni inayoisafirisha hadi bandarini. Hapa kuna winchi kubwa inayochukua kontena yote na kuiwekea juu ya meli. Kwenye bandari ya kufika kontena yote inapelekwa bandainibandarini, moja kwa moja juu ya lori. Sasa ni watu wachache tu wanaoshughulika mzigo huu, na kazi inaendelea haraka zaidi pia kwa gharama kidogodogo kuliko zamani.
 
==Usafinishaji==