Basilika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sh:Bazilika
nyongeza
Mstari 1:
'''Basilika''' kwani asilijina lilikuwala jengoheshima rasmikwa lililotumika [[Roma]] kama mahali pa mikutanoajili ya hadharakanisa namaalumu maamuzikatika yakanisa kimahakamakatoliki.
[[Picha:BASILIKA.gif|thumb||Muundo wa basilika hii unaonyesha ukumbi kuu katikati na kumbi za kando kati ya nguzo na ukuta]]
==Asili ya basilika==
Kwa asili lilikuwa jengo rasmi lililotumika [[Roma ya Kale]] kama mahali pa mikutano ya hadhara na maamuzi ya kimahakama.
 
Jina ni la [[Kigiriki]] (''aulè basilikè'', yaani ukumbi wa kifalme), hivyo linaelekeza kuona asili ya majengo hayo upande wa [[mashariki]] wa [[Bahari ya Kati]]
 
==Basilika kama jengo la kanisa ==
Kuanzia mwaka [[313]], [[Dola la Roma]] liliporuhusu raia kufuata [[Ukristo]], basilika ziligeuzwa kuwa mahali pa ibada ya [[dini]] hiyo, kuanzia [[Kanisa kuu la Roma]], maarufu kwa jina la Mt. Yohane huko [[Laterani]].
 
Line 10 ⟶ 14:
 
Hata hivyo, kuna basilika kuu na basilika dogo.
[[Picha:Basilica 5s.png|thumb|Muundo wa basilika yenye kumbi 5]]
==Basilika kama mfumo wa pekee wa ujenzi==
Katika fani ya historia ya [[usanifu]] ni jina kwa ajili ya kanisa liliyojengwa kwa kufuata mfumo wa pekee. Hapu kanisa huwa na ukumbi kuu na kando lake sehemu ya pembeni inayotengwa kwa nguzo. Mara nyingi muundo huu ulikuwa na kumbi mbili za kando lakini kuna pia basilika kubwa zenye kumbi 2 za kando kila upande kwa hiyo jumla 5.
 
 
[[Category:Ukristo]]