Neptune : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{mergeto|Neptun}}
'''Neptune'''([[Kiswahili]]: '''Kausi'''<sup><font color="blue">[4][5][6]</font color></sup>) ni sayari kubwa katika [[mfumo wa jua]], ya nane kutoka katika [[jua]] na ya nne kwa ukubwa wa kipenyo. Neptune hukaa karibia muda wote katika umbali ambao haubadiliki kutoka kwenye jua. Umbali wa takribani kilometa bilioni 4.5 (sawa na maili bilioni 2.8) kutoka katika jua. [[Obiti]] ya Neptune inakaribia kufikia duara kamili (obiti nyingi za sayari huwa ni duara paba). Wanaanga wanaamini kuwa, kwa ndani katikati Neptune imeundwa na miamba ambayo inazungukwa na kiwango kikubwa cha maji iliyochanganyika na vitu vyenye asili ya miamba. Kutoka ndani kabisa, maji haya yametawanyika kuelekea juu mpaka ilipokutana na [[tabaka la hewa]] liloundwa na [[hydrogen]], [[helium]] na kiwango kidogo cha gesi ya [[methane]]. Neptune ina bangili nne na miezi kumi na moja inayofahamika hadi sasa. Ingawa ujazo wa Neptune ni mara 72 ya ule ujazo wa dunia, tungamo lake ni mara 17 tu ya lile la dunia. Kutokana na ukubwa wake, wanasayansi wameiweka Neptune, pamoja na sayari zingine Jupiter, Saturn na Uranus katika kundi la sayari kubwa kabisa zinazofahamika kama [[Jovian planets]].
 
[[Picha:Neptune, Earth size comparison.jpg|thumb|200px|right|Ulinganifu wa Neptune na [[dunia]]. Rangi ya bluu ya sayari ya Neptune ni kutokana na uwepo wa methane katika tabaka lake la hewa.]]
Mstari 68:
# Klimishin, Iwan A. (1991). Modern Astronomy, Akad. Verl Spektrum, Heidelberg.
# Birney, Scott D. (1991). Observational astronomy, Cambridge University Press, Cambridge.
# Wallah, W.B. & Mwamburi, J. Kiswahili mufti darasa la 8: Mwongozo wa mwalimu. Longhorn, 2009. ISBN 99966491066
# TESSA - Teacher Education in Sub Saharan Africa. [http://tessafrica.net/index.php?option=com_resources&task=fileDownload&sectionId=815&file=Section.pdf&Itemid=193 Nishati na Mwendo: Kutoka Ardhini kenda kwenye nyota – kutumia Zana Kifani]. Available at: www.tessafrica.net
# 3. Waweru, M.; Makombo, H; Vonuoli, A.; Kashihiri, C.; Mwayani, J.[http://books.google.com/books?id=5duyqogD04wC&lpg=PA266&dq=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&hl=pt-BR&pg=PP1#v=onepage&q=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&f=false Hutua za Kiswahili: Masomo ya Msingi 8]. East African Educational Publishers ltd., 1ed, 290p., 2005. ISBN 9966-25-403-X
 
 
[[Jamii:Unajimu]]