Neptune : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{mergeto|Neptun}}
'''Neptune''' ([[Kiswahili]]: '''Kausi'''<sup><font color="blue">[41][52][63]</font color></sup>) ni sayari kubwa katika [[mfumo wa jua]], ya nane kutoka katika [[jua]] na ya nne kwa ukubwa wa kipenyo. Neptune hukaa karibia muda wote katika umbali ambao haubadiliki kutoka kwenye jua. Umbali wa takribani kilometa bilioni 4.5 (sawa na maili bilioni 2.8) kutoka katika jua. [[Obiti]] ya Neptune inakaribia kufikia duara kamili (obiti nyingi za sayari huwa ni duara paba). Wanaanga wanaamini kuwa, kwa ndani katikati Neptune imeundwa na miamba ambayo inazungukwa na kiwango kikubwa cha maji iliyochanganyika na vitu vyenye asili ya miamba. Kutoka ndani kabisa, maji haya yametawanyika kuelekea juu mpaka ilipokutana na [[tabaka la hewa]] liloundwa na [[hydrogenhidrojeni]], [[heliumheli]] na kiwango kidogo cha gesi ya [[methane]]. Neptune ina bangili nne na miezi kumi na moja inayofahamika hadi sasa. Ingawa ujazo wa Neptune ni mara 72 ya ule ujazo wa dunia, tungamo lake ni mara 17 tu ya lile la dunia. Kutokana na ukubwa wake, wanasayansi wameiweka Neptune, pamoja na sayari zingine Jupiter, Saturn na Uranus katika kundi la sayari kubwa kabisa zinazofahamika kama [[Jovian planets]].
 
[[Picha:Neptune, Earth size comparison.jpg|thumb|200px|right|Ulinganifu wa Neptune na [[dunia]]. Rangi ya bluu ya sayari ya Neptune ni kutokana na uwepo wa methane katika tabaka lake la hewa.]]
Mstari 24:
==Muundo==
 
Kwa kiwango kikubwa, Neptune ina [[miamba]] na [[maji]], pamoja na [[hydrogenhidrojeni]] na [[heliumheli]] (na kiwango kidogo sana cha [[methane]]) katika anga lake. Wanaanga wanaamini kuwa Neptune ilifanyika kutokana na maji yaliganda na mwamba uliotoka katika [[asteroidi]] yenye barafu angani. Kadiri ukubwa wa sayari unavyoongezeka, [[mkandamizo]] na [[jotoridi]] ndani ya sayari huongezeka na kuyeyusha maji yaliyoganda kuwa kimiminika cha moto.
 
Wanaanga wanaamini pia kuwa sayari ina kiini yabisi katika kitovu chake ambacho siyo kikubwa kuzidi dunia (kipenyo cha dunia ni km 12,756/ mi 7,926) na kina mchanganyiko wa [[chuma]] na [[silicon]]. Kiini cha Neptune kinaweza kuwa kidogo kwa sababu karibia miamba yote inayotengeneza sayari imechanganyikana na maji mengi yaliyosambaa kutoka katika kitovu cha sayari hadi katika tabaka lake la hewa.
Mstari 32:
==Tabaka la hewa==
 
Tabaka la hewa la Neptune lina gesi ya [[hydrogenhidrojeni]], [[heliumheli]] na asilimia tatu ya [[methane]]. Tabaka limetanuka mpaka km 5000 kutoka bahari ya sayari. Mwanga unaoakisiwa na sayari ni wa bluu kwa sababu methane hufyonza mwanga mwekundi na wa rangi ya machungwa lakini hutawanya mwanga wa bluu. Mnamo mwaka [[1998]] wanaanga waligundua uwepo wa molekyuli za [[methyl]] katika tabaka la Neptune. Ugunduzi wa methyl katika Neptune ulikuwa ugunduzi wa kwanza wa kampaundi za [[hydrocarbon]] (carbon ni elementi ya msingi katika kila kiumbe hai) katika sayari zingine zaidi ya dunia.
 
Neptune hutoa joto mara 2.7 zaidi ya lile linalolifyonza kutoka katika jua. Kiini cha Neptune hufikia jotoridi la 5149<sup>o</sup> (9300<sup>o</sup>F) ambalo ni kali kuzidi lile la nje la jua. Pepo katika Neptune, ambazo huvuma katika uelekeo wa [[latitude]], zina mwendokasi mkubwa katika maeneo ya muhimili zaidi kuliko katika [[eneo la ikweta]]. Neptune ina pepo zenye mwendokasi mkubwa kupita zote katika [[mfumo wa jua]] ambazo hufikia mwendokasi wa km/saa 2000 (mi/saa 1200).
Mstari 65:
==Marejeo==
 
# Maran, Stephen P. (2005). Astronomy for dummies, Inc. Wiley Publishing, Hoboken.
# Klimishin, Iwan A. (1991). Modern Astronomy, Akad. Verl Spektrum, Heidelberg.
# Birney, Scott D. (1991). Observational astronomy, Cambridge University Press, Cambridge.
# Wallah, W.B. & Mwamburi, J. Kiswahili mufti darasa la 8: Mwongozo wa mwalimu. Longhorn, 2009. ISBN 99966491066
# TESSA - Teacher Education in Sub Saharan Africa. [http://tessafrica.net/index.php?option=com_resources&task=fileDownload&sectionId=815&file=Section.pdf&Itemid=193 Nishati na Mwendo: Kutoka Ardhini kenda kwenye nyota – kutumia Zana Kifani]. Available at: www.tessafrica.net
# 3. Waweru, M.; Makombo, H; Vonuoli, A.; Kashihiri, C.; Mwayani, J.[http://books.google.com/books?id=5duyqogD04wC&lpg=PA266&dq=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&hl=pt-BR&pg=PP1#v=onepage&q=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&f=false Hutua za Kiswahili: Masomo ya Msingi 8]. East African Educational Publishers ltd., 1ed, 290p., 2005. ISBN 9966-25-403-X
# Maran, Stephen P. (2005). Astronomy for dummies, Inc. Wiley Publishing, Hoboken.
# Klimishin, Iwan A. (1991). Modern Astronomy, Akad. Verl Spektrum, Heidelberg.
# Birney, Scott D. (1991). Observational astronomy, Cambridge University Press, Cambridge.