Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 25:
::Salaam naona umehariri makala ya sayari kadhaa kwa kuingiza majina ulioyotaja kuwa majina ya "Kiswahili". Nataka kuuliza kama umefuatilia majadiliano tuliyokuwa juu ya swali hili hapa sw? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 16:17, 30 Aprili 2011 (UTC)
 
:::Habari, Kipala. Ndiyo, nimesoma majadiliano na kurasa nyengine pia, na nimegundua kuna matatizo kwenye kuzirekebisha makala, nimeona kuwa hizo kurasa zimebadilishwa mara nyingi na nakubaliana nawe jina la makala kuu lisibadilishwe bila majadiliano ndio maana sijafanya hivyo. Hizo istilahi zinachanganya kama unavyoona kwenye masomo yako. Nimebadilisha hizo makala kwasababu tunayo majina yake, japokuwa tunatumia Kiengereza kwa kawaida. Sina uhakika kama ni sawa kwasababu, sijui kurekebisha vizuri, lakini najua hayo maneno ni sahihi, na nimekuonyesha ushahidi. Kama muna maswali mengine, tafadhali niulize. --[[User:Jenomu|Jenomu]] 30 Aprili 2011
:::Habari, Kipala
Ndiyo, nimesoma majadiliano na kurasa nyengine pia, na nimegundua kuna matatizo kwenye kuzirekebisha makala, nimeona kuwa hizo kurasa zimebadilishwa mara nyingi na nakubaliana nawe jina la makala kuu lisibadilishwe bila majadiliano ndio maana sijafanya hivyo. Hizo istilahi zinachanganya kama unavyoona kwenye masomo yako. Nimebadilisha hizo makala kwasababu tunayo majina yake, japokuwa tunatumia Kiengereza kwa kawaida. Sina uhakika kama ni sawa kwasababu, sijui kurekebisha vizuri, lakini najua hayo maneno ni sahihi, na nimekuonyesha ushahidi. Kama muna maswali mengine, tafadhali niulize. --[[User:Jenomu|Jenomu]] 30 Aprili 2011