Namba tasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: als:Primzahl
d The file Image:Animation_Sieve_of_Eratosth-2.gif has been replaced by Image:Sieve_of_Eratosthenes_animation.gif by administrator commons:User:Waldir: ''File renamed: clearer''. ''[[m:User:CommonsDelink
Mstari 10:
 
Namba zote nyingine zisizo namba tasa huitwa [[namba kivunge]] na zinaweza kupatikana kwa kuzidisha namba asilia mbili.
[[Picha:Animation Sieve of Eratosth-2Sieve_of_Eratosthenes_animation.gif|thumb|300px|Kichujio cha Erastothenes]]
== Kichujio cha Eratosthenes ==
Mbinu mwepesi wa kugundua namba tasa ndogo ni Kichujio cha Eratosthenes. Ilibuniwa na mwanahisabati na mwanafalsafa [[Eratosthenes]] aliyeishi zamani za [[Ugiriki ya Kale]].