Kige'ez : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d delete — nonsense page
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ethiopian Madonna.jpg|thumb|right|Ukurasa wa "wedase Maryam", kitabu cha maisha ya Maria inayoonyesha picha ya Maria na mtoto Yesu pamoja na maelezo yaliyoandikwa kwa Ge'ez]]
{{delete|Nonsense}}— [[User:Wikitanvir|Tanvir]] • 15:50, 22 Machi 2011 (UTC)
'''Ge'ez''' (ግዕዝ gē-ĕz) ni lugha ya kale ya [[Ethiopia]] iliyozungumzwa zamani za [[ufalme wa Aksum]]. Baadaye ilikuwa lugha ya kimaandishi nchini Ethiopia hadi [[karne ya 19]] na hadi leo ni lugha ya [[liturgia]] katika kanisa la orthodoksi la Ethiopia.
hjkk
 
Hhesabiwa kati ya [[lugha za Kisemiti]] za kusini. Hutazamiwa kama lugha mama ya lugha za kisasa kama [[Kiamhari]] na [[Kitigrinya]] nchini Ethiopia na Eritrea.
 
Maandishi ya Ge'ez ni aina ya [[abugida]] yenye herufi 26 za [[konsonanti]] na 4 za [[vokali]] zinazounganishwa kuwa alama 202 kwa [[silabi]] zote zinazowezekana. Mifano ya kwanza inyojulikana ni kutoka karne ya 4 [[BK]].
 
[[Category:lugha za Ethiopia]]
[[Category:lugha za Eritrea]]
[[Category:lugha za Kisemiti]]
 
[[am:ግዕዝ]]
[[an:Ge'ez]]
[[ar:لغة جعزية]]
[[arz:جعزى]]
[[bg:Геез]]
[[br:Geuzeg]]
[[ca:Gueez]]
[[cs:Ge'ez]]
[[de:Ge’ez (Sprache)]]
[[en:Ge'ez language]]
[[eo:Geeza lingvo]]
[[es:Ge'ez]]
[[eu:Ge'ez]]
[[fa:زبان گعز]]
[[fr:Ge'ez (langue)]]
[[he:געז]]
[[hr:Geez]]
[[id:Bahasa Ge'ez]]
[[it:Lingua ge'ez]]
[[ja:ゲエズ語]]
[[ka:გეეზი]]
[[ko:그으즈어]]
[[la:Lingua Aethiopica]]
[[lt:Gezo kalba]]
[[mk:Геез]]
[[ml:ഗീയസ് ഭാഷ]]
[[ms:Bahasa Ge'ez]]
[[no:Ge'ez]]
[[pl:Język gyyz]]
[[pt:Língua ge'ez]]
[[ro:Limba gî'îz]]
[[ru:Геэз]]
[[sh:Giz]]
[[sl:Giz]]
[[sv:Ge'ez]]
[[zh:吉茲語]]