Tofauti kati ya marekesbisho "Kimondo cha Mbozi"

no edit summary
(nyongeza kidogo)
'''Kimondo cha Mbozi''' ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na kijijimji chawa [[Vwawa]]. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, [[Wilaya ya Mbozi|wilayani Mbozi]] katika [[mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. [[Anwani ya kijiografia]] ni 9° 6'28.11"S na 33° 2'14.34"E
 
Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.
==Viungo vya Nje==
*[http://www.jambonetwork.com/blog/?p=4430 Ujumbe wa blogu kuhusu Kimondo cha Mbozi]
*'''''(de)''''' [http://www.sternwarte-singen.de/meteoriten_gross_mbozi1.htm Makala kuhusu Kimondo cha Mbozi kwa Kijerumani - kuna picha nzuri]
 
[[Jamii:Wilaya ya Mbozi]]