Kimondo cha Mbozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<sup><small>[[Anwani ya kijiografia]] ni 9° 6'28.11"S na 33° 2'14.34"E</small></sup><br>
'''Kimondo cha Mbozi''' ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa [[Vwawa]]. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, [[Wilaya ya Mbozi|wilayani Mbozi]] katika [[mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. [[Anwani ya kijiografia]] ni 9° 6'28.11"S na 33° 2'14.34"E
 
Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.