Bruno Mkartusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|300px|Bruno mwanzilishi wa Wakartusi. Bruno Mkartusi (Cologne, Ujerumani, 1030 hivi - [[Serra San Bruno]...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:José de Ribera 029.jpg|thumb|right|300px|Bruno [[mwanzilishi]] wa Wakartusi.]]
 
Bruno Mkartusi ([[Cologne]], [[Ujerumani]], [[1030]] hivi - [[Serra San Bruno]], [[Italia]],
Mstari 8:
Bado kijana alikwenda [[Reims]] ([[Ufaransa]]), ambapo mwaka [[1057]] [[askofu]] Gervas alimkabidhi uongozi wa [[shule]] iliyomlea.
Mwaka [[1076]] aliacha shughuli zake shuleni na ofisini akamkimbilia mtawala mdogo [[Ebal wa Roucy]], kutokana na askofu [[Manase wa Gournay]] kumchukia kwa sababu ya kumlaumu kwa kosa la [[usimoni]]. Aliweza kurudi Ufaransa mwaka [[1080]] tu, baada ya Manase kuondolewa na [[mtaguso]] maalumu.
 
=== Wito wa kimonaki ===
 
Katika miaka hiyo migumu, ndipo [[wito]] wake wa kimonaki ulipojitokeza. Katika barua yake mojawapo Bruno alisimulia jinsi alivyoweka [[nadhiri]] ya kujitoa [[wakfu]] kwa [[Mungu]] pamoja na marafiki wawili.
 
Kisha kurudi Ufaransa, alikwenda kwenye [[makao ya upwekeni]] ya Molesme, chini ya uongozi wa [[Roberto wa Molesme]]. Halafu, pamoja na wenzi sita, alitafuta mahali pa faragha ili kuanzisha [[mpnasteri]], akapewa na askofu wa [[Grenoble]], [[Ugo wa Grenoble]], ambaye alisukumwa na [[njozi]]. Eneo hilo la kufaa lilikuwa bonde katika milima iliyoitwa «Cartusia» (kwa [[Kifaransa]] «Chartreuse»).
 
=== Kartusi ===
 
Monasteri ilianza kujengwa katikati ya mwaka [[1084]], kwenye mita 1175 juu ya [[usawa wa bahari]]. [[Kanisa]] tu lilijengwa kwa mawe, ili liweze kuwekwa [[wakfu]], kama ilivyofanyika mwaka [[1085]].
 
Miaka sita baadaye [[Papa Urbano II]], aliyekuwa mwanafunzi wake huko Reims, alimuita [[Roma]], atumikie [[Ukulu mtakatifu]]. Bruno hakuweza kukataa, hivyo aliacha upweke kwa wenzake.
 
=== Huko Italia ===
[[File:San Bruno (Manuel Pereira, MRABASF E-18) 01.jpg|thumb|200px|right|Mt. Bruno alivyochongwa na [[Manuel Pereira]] ([[1652]], [[Real Academia de Bellas Artes de San Fernando|R.A.B.A.S.F.]], [[Madrid]], [[Hispania]]).]]
 
Bruno alipotii wito wa Papa, alihisi kuwa jumuia yake kwa kukosa uongozi wake itaingia jaribuni; na kweli ilisambaratika. Lakini alifaulu kuwarudisha Kartusi waendelee chini ya [[Landuino Mkartusi|Landuino]].
 
Pamoja na hato, Bruno hakuweza kuzoea mazingira na majukumu ya Roma, akitamani kurudi upwekeni.
 
Urbano II alipokimbia Roma, kutokana na [[kaisari]] [[Henri IV]] kuvamia [[Dola la Papa]] na kumteua [[antipapa Klementi III]], Bruno alimfuata Papa Italia Kusini.
 
Kwa pendekezo la Papa, alichaguliwa [[askofu mkuu]] wa [[Reggio Calabria]], lakini alikataa.
 
Hatimaye alikubaliwa kwenda upwekeni Italia kusini.
 
== Viungo vya nje ==