Bruno Mkartusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:JoséSan de Ribera 029bruno.jpg|thumb|right150px|300pxleft|Mtakatifu Bruno [[mwanzilishi]] wa Wakartusi.]]
[[Image:José de Ribera 029.jpg|thumb|right|300px|Bruno, [[mwanzilishi]] wa Wakartusi.]]
 
Bruno Mkartusi ([[Cologne]], [[Ujerumani]], [[1030]] hivi - [[Serra San Bruno]], [[Italia]],
[[6 Oktoba]] [[1101]]) alikuwa [[padri]] wa [[Kanisa Katoliki]] na [[mmonaki]] aliyeanzisha [[shirika la kitawa]] kwa [[wakaapweke]] ambalo linadumu mpaka leo.
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake inaadhimishwa katika tarehe ya kifo chake.
 
== Maisha ==
Line 23 ⟶ 26:
=== Huko Italia ===
[[File:San Bruno (Manuel Pereira, MRABASF E-18) 01.jpg|thumb|200px|right|Mt. Bruno alivyochongwa na [[Manuel Pereira]] ([[1652]], [[Real Academia de Bellas Artes de San Fernando|R.A.B.A.S.F.]], [[Madrid]], [[Hispania]]).]]
[[Image:Carducho - Saint Bruno.jpg|right|thumb|250px|Bruno akikataa [[uaskofu]] alivyochorwa na [[Vicente Carducho]], [[Museo del Prado]] (Hispania).]]
 
 
Bruno alipotii wito wa Papa, alihisi kuwa jumuia yake kwa kukosa uongozi wake itaingia jaribuni; na kweli ilisambaratika. Lakini alifaulu kuwarudisha Kartusi waendelee chini ya [[Landuino Mkartusi|Landuino]].
 
Pamoja na hatohayo, Bruno hakuweza kuzoea mazingira na majukumu ya Roma, akitamani kurudi upwekeni.
 
Urbano II alipokimbia Roma, kutokana na [[kaisari]] [[Henri IV]] kuvamia [[Dola la Papa]] na kumteua [[antipapa Klementi III]], Bruno alimfuata Papa Italia Kusini.
Line 32 ⟶ 37:
Kwa pendekezo la Papa, alichaguliwa [[askofu mkuu]] wa [[Reggio Calabria]], lakini alikataa.
 
Hatimaye alikubaliwa kwenda upwekeni Italia kusini.
=== Katika mkoa wa Calabria ===
Mwaka [[1090]] mtawala [[Roger I wa Sicilia]] alimtolea eneo kwenye [[mita]] 790 juu ya usawa wa bahari, mahali palipoitwa Torre, leo [[Serra San Bruno]], katika [[mkoa]] wa [[Calabria]].
 
Huko Bruno alianzisha makao ya upwekeni ya Mtakatifu Maria, na karibu [[kilometa]] 2 bondeni - ambapo leo ipo [[Certosa di Serra San Bruno]] - alianzisha kwa ajili ya ma[[bruda]] monasteri ya Mtakatifu Stefano.
Halafu, mwaka [[1094]] hivi, Roger alipompatia msaada wa familia ya Mulè, Bruno aliipangia mahali pa mbali kidogo, ambapo sasa ipo [[Serra San Bruno]].
 
Bruno, akirudia maisha aliyoyacha Ufaransa, alimalizia maisha yake kwa miaka 10 upwekeni. Wakati huo alitembelewa na Landuino, mwandamizi wake huko Kartusi.
 
=== Kifo ===
 
Mnamo Juni [[1101]] Roger alifariki dunia, akiwa na Bruno karibu naye. Tarehe 6 Oktoba Bruno pia akafariki, akizungukwa na wafuasi wake.
 
== Heshima baada ya kifo ==
 
[[Papa Leo X]] aliidhinisha kwa sauti tu heshima kwa Bruno tarehe [[19 Julai]] [[1514]], halafu tarehe [[17 Februari]] [[1623]] [[Papa Gregori XV]] alieneza heshima hiyo kwa [[Kanisa Katoliki]] lote.
 
 
== Viungo vya nje ==
Line 38 ⟶ 61:
* [http://www.newadvent.org/cathen/03014b.htm St. Bruno katika [[Catholic Encyclopedia]].]
* [http://www.chartreux.org Chartreuse]
* [http://www.saintbruno.org ''International Fellowship of St. Bruno'']
* [http://www.saintpetersbasilica.org/Statues/Founders/Bruno/Bruno.htm St Peter's Basilica: ''St Bruno'']
 
[[Category:Waliozaliwa 1030]]
[[Category:Waliofariki 1101]]
[[Category:Wamonaki]]
[[Category:Mapadri]]
[[Category:Watawa waanzilishi]]
[[Jamii:Wakartusi]]