Habsburg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:دودمان هاپسبورگ
sahihisho dogo
Mstari 9:
Mtemi Rudolf wa Habsburg alifaulu kuchaguliwa kama mfalme wa Wajerumani na mkuu wa Dola Takatifu. Akiwa mfalme aliweza kupata utemi wa Austria na wafuasi walibaki na nafasi hii ya watawala wa Austria.
 
Mwaka 1438 Mhabsburg mwingine [[Albert II wa Ujerumani|Albert II]] alichaguliwa tena kuwa mfalme wa Wajerumani. Hakutapata cheo cha [[Kaisari]] lakini kuanzia Albrecht wakuu wa Austria walichaguliwa tena kama wafalme wa Wajerumani na wote baada yake walipewa pia taji la Kaisari wa Dola Takatifu la Kiroma. Tangu 151[[1526]] walikuwa pia na cheo cha wafalme wa [[Hungaria]].
 
Mhabsburg aliyetawala maeneo makubwa kabisa alikuwa Kaisari [[Karolo V]] (kama mfalme wa Hispania: Carlos I) (1500 – 1558) aliyeunganisha falme za Dola Takatifu (Ujerumani, Uswisi, Uholanzi, Ubelgiji, Italia Kaskazini, Austria) pamoja na Hispania na koloni zake katika Amerika ya Kati na Amerika Kusini.