Panonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: nl:Pannonië
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Roman provinces of Illyricum, Macedonia, Dacia, Moesia, Pannonia and Thracia.jpg|thumb|450px|Ulaya ya Mashariki-Kusini wakati wa Roma ya Kale - Panonia iko upande wa kushoto juu yenye mipaka ya rangi ya kijani.]]
 
'''Panonia''' (Kilat.kwa Kilatini ''Pannonia'') ilikuwa [[jimbo]] la [[Dola la Roma]] kuanzia mwaka [[9 KK]] hadi [[433]]. Eneo lake lilipakana na milima ya [[Alpi]] upande wa magharibi na [[mto Danubi]] upande wa kaskazini na mashariki. Leo hii eneo lake lakaliwa na [[Hungaria]] ya magharibi, [[Burgenland]] ya [[Austria]] na sehemu za [[Kroatia]], [[Serbia]] na [[Slovenia]]. Wakati wa [[Roma ya kale]] jimbo liligawiwa mara mbili na mwaka 433 ilikabidhiwalilikabidhiwa kwa mfalme [[Attila]] wa [[Wahunni]].
 
== Wakazi ==
Leo hii sehemu kubwa hukaliwa na [[Wahungaria]] lakini mababu zao waliingia hapahuku karne nyingi baada ya Attila. Wakati wa Waroma wakazi wengi walikuwa Wapanoni waliokuwa [[kabila]] lenye asili kati ya [[Wakelti]]. Baadaye viliingia vikundi vingi vilingia hapa, hasa wakati wa uhamisho wa mataifa katika [[Ulaya]] katika [[karne zaya 3-]] hadi [[karne ya 10|ya 10]].
 
==Historia==
[[Waroma wa Kale]] walieneza milki yao hapahuku chini ya [[kaisari]] [[Augusto]] aliyesukuma mpaka wa Dola la Roma hadi mto DanubeDanubi. Mwaka [[6]] BK wazalendawazalendo walijaribu kuwafukuza Waroma lakini walishindwa na mwaka [[9]] jimbo la Panonia iliundwaliliundwa. Waroma walijenga maboma mengi kando laya mto DanubeDanubi kama vituo vya ulinzi dhidi ya makabila makalimakatili yaliyokalia upande mwingine wa mto.
 
Katika [[karne ya 5]] uwezo na nguvu ya Dola la Roma ilififia mbele ya mashambulio ya makabila mengi kutoka mashariki na kaskazini. Mfululizo wa [[vita]] mbalimbali uliharibu nchi na wakziwakazi wengi Waroma waliondoka wakahamia sehemu penyezenye usalama aidizaidi. Hivyo [[Kaisari]] [[Thedosio II]] aliondoa [[legioni]] zake kutoka Panonia akakabidhi nchi yote kwa Wahunni chini ya mfalme Attila.

Baada ya [[kifo]] cha Attila utawala wa Wahunni ukaporomoka na [[makabila ya Kigermanik]] yalitawala yalifuatwayakifuatwa na [[Waslavi]] mbalimbali. Tnagu

Tangu mwaka [[900]] [[Wahungaria]] walifika wakaanza kutawala nchi na wakazi wengi polepole wakapokea [[lugha]] yao.

Baadaye watawala wa [[Habsburg]] kutoka Austria na [[Waislamu]] wa [[Milki ya Osmani]] walishindana juu yawalishindania utawala wa eneo lililokuwa sehemu ya Milki ya [[Austria-Hungaria]] hadi [[1918]]. Mwaka ule eneo likagawiwa kwa Austria, Hungaria na Ufalme wa [[Yugoslavia]].