Kwanza (sarafu) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: cy:Kwanza
No edit summary
Mstari 1:
<small>''Makala hii yahusu pesa ya Angola. Kuhusu mto Kwanza angalia [[Kwanza (mto)]].''</small>
[[Image:AGO006.JPG|thumb|300px|Kwanza moja]]
 
'''Kwanza''' (kifupi: '''KZ''') ni [[fedha]] inayotumika kwa malipo halali katika nchi ya [[Angola]]. Wakati wa uhuru Angloa imerithi pesa ya [[escudo]] kutoka [[Ureno]]. Mwaka 1977 Kwanza yenye 100 Lwei imeingizwa nchini kama pesa ya kwanza ya kitaifa. Kutokana na kushuka kwa thamani ya fedha mara kwa mara pesa ya Kwanza imebadilishwa mara nne tangu 1977:
* 1977 Kwanza