Wagermanik : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 2:
 
Lugha za Kigermanik huzungumzwa leo hii na wasemaji wa [[Kijerumani]], [[Kiingereza]], [[Kiholanzi]] na lugha za [[Skandinavia]] lakini kwa kawaida wasemaji wa leo hawaitwi tena "Wagermanik" bali huangaliwa kama ukoo wa baadaye wa Wagermanik wa kale.
[[Image:Germanic tribes (750BC-1AD).png|right|200px|thumb|
 
Uenezaji wa makabila ya Kigermanik 750 KK – BK 1 (kufuatana na ''Penguin Atlas of World History'' 1988):
{{legend |#f00| Makazi kabla ya 750 KK|outline=#d00}}
{{legend |#f84| Makazi mapya mnamo 500 KK|outline=#e73}}
{{legend |#ff0| Makazi mapya mnamo 250 KK|outline=#da0}}
{{legend |#0f0| Makazi mapya mnamo BK 1|outline=#0d0 }}]]
[[Picha:Germanische-ratsversammlung_1-1250x715.jpg|thumb||Mkutano wa ushauri wa jeshi la Kigermanik; picha kwene nguzo ya Markus Aurelius mjini Roma ]]
[[Picha:Uhamisho Mkuu Ulaya I.jpg|thumb|280px|Uhamisho wa makabila ya Kigermanik wakati wa Uhamisho mkuu wa Ulaya]]
==Jina==
Jina la Wagermanik lilitokea mara ya kwanza kwa waandishi wa [[Roma ya Kale]]. [[Julius Caesar]] aliandika juu ya makabila waliokaa upande wa mashariki wa [[Wakelti]] wa [[Gallia]] kwa kuwataja kama "Germani" na watu waliokalia nchi ya "Germania". Hata Caesar hakujua mengi sana kuhusu yao aliwatambua tu kama tofauti na Wakelti wa Gallia. Hadi leo haijulikani kama kiasili walijiita hivyo wenyewe au kama ni zaidi majirani waliowaita "Germani". Nadharia ya zamani ilisema hao "Germani" walijiita wanaume au watu (="man, mani") wenye mikuki ("ger"). Lakini siku hizi kuna wataalamu wengi zaidi wanaoona ya kwamba ni Wakelti waliowaita ama "majirani" au "watu wa msituni" kwa neno fulani la Kikelti.
Line 11 ⟶ 18:
Lakini neno la Kilatini "Germani" lilitaja watu wengi zaidi kuliko wakazi wa Ujerumani = Germany = Deutschland wa leo. Liliendelea kumaanisha pia wengine waliozungumza lugha za Kigermanik waliokaa [[Ulaya ya Kaskazini]] na [[Ulaya ya Mashariki]] na kushiriki katika [[uhamisho mkuu wa Ulaya]] wakati wa karne za 4-8 na kufikia hadi [[Afrika ya Kaskazini]]. Kwa Kiingereza jumla ya makabila au mataifa haya liliitwa pia kwa jina la "Teutonic peoples / Teutonic tribes" kutokana na kabila lililojulikana kwa Waroma wa Kale kama Teutoni.
 
 
[[Image:Germanic tribes (750BC-1AD).png|right|200px|thumb|
Uenezaji wa makabila ya Kigermanik 750 KK – BK 1 (kufuatana na ''Penguin Atlas of World History'' 1988):
{{legend |#f00| Makazi kabla ya 750 KK|outline=#d00}}
{{legend |#f84| Makazi mapya mnamo 500 KK|outline=#e73}}
{{legend |#ff0| Makazi mapya mnamo 250 KK|outline=#da0}}
{{legend |#0f0| Makazi mapya mnamo BK 1|outline=#0d0 }}]]
==Asili ya Wagermanik==
Asili ya Wagermanik haijulikani kikamilifu. Inaaminiwa leo ya kwamba wasemaji wa lugha asilia ya Kigermanik walikaa mwanzoni katika Skandinavia na Ujerumani ya Kaskazini hadi takriban mwaka 750 KK. Wakati ule kuna uwezekano ya kwamba kipindi cha hali ya hewa baridi kilisababisha njaa katika maeneo yao na kuwasababisha kuhamia kusini wakifuata pwani za bahari na mabonde ya mito mikubwa kama [[Rhine]], [[Elbe]], [[Oder]] na [[Vistula]].
 
[[Picha:Germanische-ratsversammlung_1-1250x715.jpg|thumb||Mkutano wa ushauri wa jeshi la Kigermanik; picha kwene nguzo ya Markus Aurelius mjini Roma ]]
Caesar aliwakuta kando la mto Rhine mnamo mwaka 50 KK. Mwandishi Mroma [[Tacitus]] aliwajua wengine waliokaa kaskazini na mashariki zaidi. Waroma waliandika ya kwamba walipenda vita, walikuwa na wafalme waliochaguliwa katika mkutano wa wanaume huru waliovaa silaha, walikula nyama ya kuchoma na kunywa [[bia]] au [[divai]]. Waroma walijaribu kupanusha utawala wao ndani ya Germania lakini baada ya kushindwa na Wagermanik mnamo mwaka 9 BK walijenga maboma mengi na ukuta mkubwa kando la mito Rhine na Danubi kama mpaka wa kudumu dhidi yao.