Wagermanik : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
picha ramani
Mstari 2:
 
Lugha za Kigermanik huzungumzwa leo hii na wasemaji wa [[Kijerumani]], [[Kiingereza]], [[Kiholanzi]] na lugha za [[Skandinavia]] lakini kwa kawaida wasemaji wa leo hawaitwi tena "Wagermanik" bali huangaliwa kama ukoo wa baadaye wa Wagermanik wa kale.
 
==Jina==
Jina la Wagermanik lilitokea mara ya kwanza kwa waandishi wa [[Roma ya Kale]]. [[Julius Caesar]] aliandika juu ya makabila waliokaa upande wa mashariki wa [[Wakelti]] wa [[Gallia]] kwa kuwataja kama "Germani" na watu waliokalia nchi ya "Germania". Hata Caesar hakujua mengi sana kuhusu yao aliwatambua tu kama tofauti na Wakelti wa Gallia. Hadi leo haijulikani kama kiasili walijiita hivyo wenyewe au kama ni zaidi majirani waliowaita "Germani". Nadharia ya zamani ilisema hao "Germani" walijiita wanaume au watu (="man, mani") wenye mikuki ("ger"). Lakini siku hizi kuna wataalamu wengi zaidi wanaoona ya kwamba ni Wakelti waliowaita ama "majirani" au "watu wa msituni" kwa neno fulani la Kikelti.
[[Image:Germanic tribes (750BC-1AD).png|right|200px|thumb|
Uenezaji wa makabila ya Kigermanik 750 KK – BK 1 (kufuatana na ''Penguin Atlas of World History'' 1988):
Line 9 ⟶ 12:
{{legend |#0f0| Makazi mapya mnamo BK 1|outline=#0d0 }}]]
[[Picha:Germanische-ratsversammlung_1-1250x715.jpg|thumb||Mkutano wa ushauri wa jeshi la Kigermanik; picha kwene nguzo ya Markus Aurelius mjini Roma ]]
[[Picha:Uhamisho Mkuu Ulaya I.jpg|thumb|280px|Uhamisho wa makabila ya Kigermanik wakati wa Uhamisho mkuu wa Ulaya]]
==Jina==
Jina la Wagermanik lilitokea mara ya kwanza kwa waandishi wa [[Roma ya Kale]]. [[Julius Caesar]] aliandika juu ya makabila waliokaa upande wa mashariki wa [[Wakelti]] wa [[Gallia]] kwa kuwataja kama "Germani" na watu waliokalia nchi ya "Germania". Hata Caesar hakujua mengi sana kuhusu yao aliwatambua tu kama tofauti na Wakelti wa Gallia. Hadi leo haijulikani kama kiasili walijiita hivyo wenyewe au kama ni zaidi majirani waliowaita "Germani". Nadharia ya zamani ilisema hao "Germani" walijiita wanaume au watu (="man, mani") wenye mikuki ("ger"). Lakini siku hizi kuna wataalamu wengi zaidi wanaoona ya kwamba ni Wakelti waliowaita ama "majirani" au "watu wa msituni" kwa neno fulani la Kikelti.
 
==Wagermanik, Udachi, Wajerumani, Germans, Germany, Teutonic, Germania==
Mstari 23:
 
Caesar aliwakuta kando la mto Rhine mnamo mwaka 50 KK. Mwandishi Mroma [[Tacitus]] aliwajua wengine waliokaa kaskazini na mashariki zaidi. Waroma waliandika ya kwamba walipenda vita, walikuwa na wafalme waliochaguliwa katika mkutano wa wanaume huru waliovaa silaha, walikula nyama ya kuchoma na kunywa [[bia]] au [[divai]]. Waroma walijaribu kupanusha utawala wao ndani ya Germania lakini baada ya kushindwa na Wagermanik mnamo mwaka 9 BK walijenga maboma mengi na ukuta mkubwa kando la mito Rhine na Danubi kama mpaka wa kudumu dhidi yao.
[[Picha:Uhamisho Mkuu Ulaya I.jpg|thumb|280px350px|Uhamisho wa makabila ya Kigermanik wakati wa Uhamisho mkuu wa Ulaya]]
 
==Uhamisho mkuu wa Ulaya==
Wagermanik walikuwa na uhamisho mbalimbali tangu karne nyingi. Majaribo ya makabila ya Kigermanik kuingia katika Italia yalirudishwa na jeshi la Roma katika karne ya 2 KK. Katika karne ya 2 BK kabila la Wagothi lilianza kuhamia kusini kutoka bonde la Vistula kuelekea [[Bahari Nyeusi]]. Hapa waligongana na Wagermanik wengine na kuwasababisha kuingia katika eneo la Kiroma kwenye [[Balkani]]. Miendo hii bado ilihusika vikundi visiyokuwa vikubwasana na Dola la Roma liliweza kuwapokea watu wa makabila haya na kuwatumia kama wanajeshi au kama walowezi waliokubali ubwana wa Kiroma ndani ya mipaka ya dola.