Wagermanik : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
 
Caesar aliwakuta kando la mto Rhine mnamo mwaka 50 KK. Mwandishi Mroma [[Tacitus]] aliwajua wengine waliokaa kaskazini na mashariki zaidi. Waroma waliandika ya kwamba walipenda vita, walikuwa na wafalme waliochaguliwa katika mkutano wa wanaume huru waliovaa silaha, walikula nyama ya kuchoma na kunywa [[bia]] au [[divai]]. Waroma walijaribu kupanusha utawala wao ndani ya Germania lakini baada ya kushindwa na Wagermanik mnamo mwaka 9 BK walijenga maboma mengi na ukuta mkubwa kando la mito Rhine na Danubi kama mpaka wa kudumu dhidi yao.
[[Picha:Uhamisho Mkuu Ulaya I.jpg|thumb|350px400px|Uhamisho wa makabila ya Kigermanik wakati wa Uhamisho mkuu wa Ulaya; <small>ramani inaonyesha Dola la Roma katika magharibi na mashariki na njia za [[Wahunni]], [[Wavandali]], [[Wagothi]], [[Wafranki]], [[Waanglia]]-[[Wasaksoni]], [[Wafranki]], [[Waburgundi]] na [[Walangobardi]]</small>]]
==Uhamisho mkuu wa Ulaya==
Wagermanik walikuwa na uhamisho mbalimbali tangu karne nyingi. Majaribo ya makabila ya Kigermanik kuingia katika Italia yalirudishwa na jeshi la Roma katika karne ya 2 KK. Katika karne ya 2 BK kabila la Wagothi lilianza kuhamia kusini kutoka bonde la Vistula kuelekea [[Bahari Nyeusi]]. Hapa waligongana na Wagermanik wengine na kuwasababisha kuingia katika eneo la Kiroma kwenye [[Balkani]]. Miendo hii bado ilihusika vikundi visiyokuwa vikubwasana na Dola la Roma liliweza kuwapokea watu wa makabila haya na kuwatumia kama wanajeshi au kama walowezi waliokubali ubwana wa Kiroma ndani ya mipaka ya dola.