Giza (Misri) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: right|thumb|300px|Giza inavyoonekana kutoka angani: Bonde la Nile na mwanzo wa jangwa penye piramidi [[Image:Giza1960s.jpg|right|thumb|Wakati wa miaka ya 1960...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 07:57, 7 Julai 2007

Giza (Kar.: الجيزة al-gīza) ni mji wa kaskazini ya Misri unaopakana na mji mkuu Kairo. Kuna wakazi 2,443,490 (2005).

Giza inavyoonekana kutoka angani: Bonde la Nile na mwanzo wa jangwa penye piramidi
Wakati wa miaka ya 1960 bado palikuwa na mashamba Giza

Mji wa Giza waonekana kama mtaa wa Kairo tu lakini ni mji wa pekee. Zamani ilitengwa na mji mkuu kwa uwazi wa mashamba lakini siku hizi miji yote miwili imekua hadi kugusana kabisa.

Giza yajulikana hasa kama mahali pa piramidi.

Angalia pia