Idi Amin : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Luwum and Amin.jpg|thumb|250px|Idi Amin pamoja na [[Askofu Luwum]] aliyeuawa baadaye kwa amri yake.]]
[[Picha:Amin is carried.jpg|thumb|250px|Idi Amin akibebwa kifalme na [[wafanyabishara]] [[Waingereza]] huko [[Kampala]].]]
'''Idi Amin Dada''' alikuwa [[Orodha ya Marais wa Uganda|rais]] wa [[Uganda]]
==Maisha==
Alikuwa mwanajeshi akapanda ngazi kuwa [[jenerali]] na mkuu wa jeshi la Uganda.
Mwaka 1971 alimpindua rais [[Milton Obote]] akajitangaza kuwa rais mpya, lakini wengine hawakumtaka.
Mara moja alianza kuwatesa wafuasi wa Obote na watu wote waliompinga. Kuna makadirio ya kwamba jumla ya watu 100,000 hadi 500,000 waliuawa katika miaka nane ya utawala wake.▼
▲Mara moja alianza kuwatesa wafuasi wa Obote na watu wote waliompinga. Kuna makadirio ya kwamba jumla ya watu 100,000 hadi 500,000 waliuawa katika miaka
Aliharibu uchumi wa Uganda kwa ufisadi na majaribio ya kuongoza biashara. Hatua kubwa ya uharibifu ilikuwa kufukuzwa kwa watu wote wenye asili ya Kihindi na kugawa kwa maduka na biashara yao kwa ndugu au wafuasi wa rais. Takriban watu 80,000 walipaswa kuondoka kwao wakihamia Uingereza, Marekani au Kanada hasa.▼
▲Aliharibu [[uchumi]] wa Uganda kwa [[ufisadi]] na majaribio ya kuongoza [[biashara]]. Hatua kubwa ya uharibifu ilikuwa
Oktoba 1978 Amin alianzisha vita dhidi ya [[Tanzania]] kwa kuvamia sehemu za [[mkoa wa Kagera]]. Rais [[Julius Nyerere]] wa Tanzania aliamua kumwondoa Amin kabisa na jeshi la Tanzania likatwaa Kampala tar. [[11 Aprili]] [[1979]].▼
▲Mnamo Oktoba [[1978]] Amin alianzisha [[vita]] dhidi ya [[Tanzania]] kwa kuvamia sehemu za [[mkoa wa Kagera]]. Rais [[Julius Nyerere]] wa Tanzania aliamua kumwondoa Amin kabisa na jeshi la Tanzania likatwaa Kampala
Amin alitoroka [[Libya]], halafu [[Irak]] na mwishowe [[Saudia]] alikopewa kimbilio kwa masharti ya kutoshughulika siasa tena.▼
▲Amin
▲Alikufa mjini [[Jeddah]] tar. [[16 Agosti]] [[2003]].
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{DEFAULTSORT:Amin}}
[[Jamii:Marais wa Uganda]]
|