Kislavoni cha Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho dogo
No edit summary
Mstari 2:
<br> Nchi ambako lugha ya '''<font color="#008000">[[Kislavoni cha Mashariki]]</font color="#008000">''' ni lugha rasmi; <br>Nchi ambako lugha ya '''<font color="#004040">[[Kislavoni cha Kusini]]</font color="#004040">''' ni lugha rasmi]]
 
'''Kislavoni cha Mashariki''' ni kundi la [[lugha za Kislavoni]] zinazozungumzwa katika [[Ulaya ya Mashariki]]. Ni lugha tatu za [[Kirusi]], [[Kiukraine]] na [[Kibelarus]]. Idadi ya wasemaji wa lugha hizi ni kubwa kushinda idadi ya wasemaji wa lugha za Kislavoni cha Kusini au cha Magharibi.
 
Lugha zote tatu zilitokana katika lugha ya pamoja inayoaminiwa ilitumiwa katika Ulaya ya Mashariki mnamo mwaka 1000 / 1200 [[BK]]. Ziliachana baadaye na kukuza tabia za pekee.