Mnara wa taa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Removing: be:Маяк
sahihisho dogo
Mstari 3:
 
Siku hizi minara ina urefu kati ya mita 15 hadi 40. Kama mnara umejengwa mwambanoni juu ya jabali unaweza kuwa fupi zaidi maadamu nuru yake inaonekana bila matatizo.
[[Image:Image62.gif|thumb|250px|Kichoro cha [[Pharos waya Aleksandria]]]]
==Minara ya taa ya kwanza==
Minara ya taa ya kwanza ilikuwa na moto juu yake na nuru ya moto ilionekana mbali. Mnara wa kwanza unaojulikana vizuri kihistoria ilikuwa [[Pharos ya Aleksandria]] nchini [[Misri]] iliyojengwa mnamo mwaka 282 KK. Ulisimama hadi mwaka 1303 BK ulipobomolewa na tetemeko la ardhi. Umekadiriwa kuwa na urefu wa mita 115 hadi 160. Wagiriki wa Kale waliuhesabu kati ya [[miujiza saba za ulimwengu]].