Elimuanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Falaki umesogezwa hapa Astronomia: Baada ya kushauriana na Dk Noorali T. Jiwaji wa chuo kikuu cha OUT aliyeeleza ya kwamba wataalamu wenyewe waliamua kutumia neno "Astronomia" kwa sababu "falaki" ina harufu fulani sawa na unajimu.
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Telescope.jpg|thumb|Aina mbalimbali za [[darubini]] ni vyombo muhimu ya falakiastronomia]]
 
'''FalakiAstronomia''' ''(kutoka [[KarKigir.]] علمἄστρον الفلك 'ilm al-falakastron "elimunyota" yana mizingoνόμος yanomos magimba ya angani"sheria")'',<ref>Awali piamakala iliitwa "'''astronomiaFalaki''' ''"(kutoka [[KigirKar.]] ἄστρονعلم astronالفلك 'ilm al-falak "nyota"elimu naya νόμοςmizingo nomosya "sheriamagimba ya angani")'' lakini kwa maombi ya Dk </ref> ni elimu juu ya magimba kwenye ulimwengu kama vile [[nyota]], [[sayari]], [[mwezi|miezi]], [[kimondo|vimondo]], [[nyotamkia]], [[galaksi]] kuhusu nyendo zao, nafasi, umbali, ukubwa na sheria zinazotawala tabia zao.
 
FalakiAstronomia ni tofauti na [[unajimu]] ambayo si [[sayansi]] bali jaribio la kuona uhusiano kati ya nyota na tabia za wanadamu pia kutabiri mambo yajayo.
 
==Chanzo na historia ya falakiastronomia==
Tangu zamani watu walitazama mabadiliko kati ya nyota zinazoonekana angani wakati wa usiku. Walitazama pia ya kwamba mabadiliko mengi yanarudia kila mwaka na yana uhusiano na nyakati za mvua, baridi na joto, mavuno na ustawi wa mimea katika mwendo wa mwaka. Kutazama nyota vile kulikuwa msaada wa kupanga vipindi vya mwaka na kuunda [[kalenda]]. Watazamaji wa nyota walianza kutambua pia tofauti kati ya nyota mbalimbali kwa mfano [[nyota]] zenye mahali palepale kila wakati na nyota chache za pekee zilizobadilisha mahali angani kwa utaratibu wa kurudia na hizi ziliitwa [[sayari]], tena nyota nyingine zilizoonekana kwa muda tu zikibadilisha mahali pao angani zikaitwa [[kimondo|vimondo]].
 
Mstari 32:
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:FalakiAstronomia]]
 
{{Link FA|ml}}
Mstari 172:
[[sg:Sêndâtongo]]
[[sh:Astronomija]]
[[si:තාරකා විද්‍යාවවිද්යාeව]]
[[simple:Astronomy]]
[[sk:Astronómia]]