Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

8 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Idadi kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya galaksi bilioni inaweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya darubini au vyombo vya angani.
 
Galaksi zinazojulikana zimepewa namba katika orodha ya kimataifa ya wanasayansi wa [[falakiastronomia]].
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Falakiastronomia]]
 
{{Link FA|af}}