Hipparchos wa Nikaia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: ka:ჰიპარქე
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Hipparchos 1.jpeg|thumb|Hipparchos]]
'''Hipparchos''' ([[Kigiriki]] Ἵππαρχος; takr. [[190 KK]] hadi takr. [[120 KK]]) alikuwa mtaalamu wa [[falakiastronomia]], [[jiografia]] na [[hisabati]] wa [[Ugiriki ya Kale]].
 
Alizaliwa mjini [[Nikaia]] (leo: [[Iznik]] katika [[Uturuki]]) akafariki kwenye kisiwa cha [[Rhodos]]. Hutazamiwa kama mwanafalakimwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale.
 
Aliorodhesha [[nyota]] 800 na kuzichora katika ramani ya anga. Aliweza kukadiria [[kupatwa kwa jua]] na kukutabiri.
Mstari 8:
Katika [[hisabati]] alianzisha mbinu za kijiometria kwa mfano mgawanyo wa [[duara]] kuwa na [[nyuzi]] 360.
 
[[Category:Falakiastronomia]]
[[Category:Hisabati]]
[[Category:Wataalamu Ugiriki ya Kale]]