Orodha ya Messier : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: mk:Месијеов каталог
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Messier.all.750pix.jpg|thumb|350px|Picha za nebula, nyota na galaksi zote za orodha ya Messier kuanzia M1 hadi M110]]
'''Orodha ya Messier''' ni [[orodha ya nyota]] iliyoandikwa na mwanafalakimwanaastronomia Mfaransa [[Charles Messier]] kati ya 1764 na 1782.
 
Messier alitafuta hasa nyotamkia angani akitumia darubini. Aliona pia magimba mengine yaliyoonekana kama [[nebula]] (wingu dogo linalogn'aa) zisizotembea angani kwa hiyo hazikuwa nyotamkia. Akaamua kuziorodhesha.
 
Orodha hii ilikuwa orodha ya kwanza iliyokubaliwa na wanafalakiwanaastronomia wengi kimataifa. Nyota na nebula zake zilijulikana kufuatana na namba jinsi zilivyoandikwa katika orodha ya Messier yaani M1, M2 na kadhalika. M1 ni [[nebula ya kaa]], M45 ni [[fungunyota]] ya [[kilimia]] na [[galaksi]] ya [[Andromeda]] ni M31.
 
Kuna namba 110 katika orodha hii.
Mstari 10:
Orodha za nyota za kisasa zinaonyesha nyota malakhi lakini namba za Messier zinaendelea kutumiwa hadi leo kwa vitu vinavyoorodhesha kwake.
 
[[Category:Falakiastronomia]]
 
[[ar:فهرس مسييه]]