Biomasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Switchgrass ni aina ya nyasi inayotumiwa kwa kuzalisha biofueli huko Marekani]] [[Image:rice chaffs.jpg|thumb|180px|Maganda ...'
 
nyongeza kidogo
Mstari 13:
 
Kwa maana ya karibu biomasi hutajwa pia kama masi kwa eneo fulani kwa mfano biomasi ya nchi au ndani ya ziwa fulani.
 
==Matumizi ya biomasi==
Biomasi inatumiwa na kila aina ya uhai kama mimea, wanyama au binadamu. Ilhali mimea inajenga mara nyini miili yao kutoka kwa minerali za ardhini ikiwezekana wanatumia pia molekuli za biomasi yaani mimea ilioyokufa na kuoza hata miili ya wanyama ambayo ni lishe bora kwao.
 
Biomasi inatunza nani yake pia kiasi kikubwa cha gesi ya [[CO²]] ambayo menginevyo ni gesi inayowezakuchangia kwa [[kupanda kwa halijoto duniani]] na ikishikwa ndani ya biomasi kasi ya kupanda kwa halijoti inachelweshwa.
Kwa matumizi ya kibinadamu biomasi ni muhimu kama chanzo cha chakula hasa yaani katika [[kilimo]].
 
==Biomasi kama chanzo cha nishati mbadala==
Biomasi inatunza nishati ndani yake inayoweza kutumiwa kama [[fueli]]. Mfano unaojulikana zaidi katika maisha ya kila siku ni nishati katika [[ubao]] unaotumiwa kama [[kuni]]. Nishati iliyomo katika biomasi kiasili ni nishati ya jua inayoungwa katika mimea n.k. kwa njia ya usanisinuru na kuhifadhiwa mle katika muungo atomia kati ya [[molekuli]] zake.