Makaa mawe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[File:Coal_anthracite.jpg|thumb|200px|Kipande cha anithrasiti]]
 
'''Makaa mawe''' ni aina ya [[mwamba mashapo]] au [[mwamba metamofia]] na [[fueli kisukuu]] muhimu. Ilitokea kutokana na mabaki ya mimea ya kale iliyogeuzwa kuwa aina ya mwamba katika mchakato wa miaka mamilioni.
 
Kikemia ni hasa [[kaboni]]. Kijiolojia inatokea kama kanda pana au nyembamba katikati ya miamba mengine. Huchimbwa mara nyingi katika migodi chini ya ardhi au kama iko karibu na uso wa ardi katika machimbo ya wazi yaliyo kama mashimo makubwa.