Unju bin Unuq : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'huyu ni mtu anayesemekana ameishi hapo kale. historia yake inapatikana katika makumbusho ya kaole huko bagamoyo tanzania. moja ya mabo ya ajabu ya mtu huyu ni eref...'
 
No edit summary
Mstari 1:
huyu ni mtu anayesemekana ameishi hapo kale.
historia yake inapatikana katika makumbusho ya kaole huko bagamoyo tanzania.
moja ya mabo ya ajabu ya mtu huyu ni erefuurefu wake yaani kimo,inasadikiwa alikuwa na urefu mkubwa ulioweza kumfanya atembee baharini na miguu yake kugusa chini.
pia alikuwa akitembea kutoka nchi hadi nchi kutokana na urefu wake.moja kati ya nyayo zake zinapatikana kwenye jiwe alilokanyaga huko tabora ,tanzania ,nyayo ya mguu wa kushoto wakati unyayo wa mguu wa kulia ulionekana kwenye jiwe alilokanyaga huko congo.
wanahistoria wanadai alipokufa unju bin unuq,aligawanyika vipande vipande kutokana na urefu wake na inasemekana kidole chake chenye urefu wa kilometa moja kasoro ndicho kilichopatikana na kuzikwa pale bagamoyo,haijaeleweka wakati anakufa mwili wake uliobaki uliangukia wapi.