Tofauti kati ya marekesbisho "Benedikto Yosefu Labre"

556 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '250px|thumb|right|Mtakatifu Benedict Joseph Labré. '''Benedikto Yosefu Labre''' (kwa Kifaransa Benoît-Joseph Labré) alizaliwa tarehe ...')
 
[[Picha:Cavallucci - San Benedetto Giuseppe Labre.jpg|250px|thumb|right|Mtakatifu alivyochorwa na [[Antonio Cavallucci]] mwaka [[1795]].]]
[[Image:BJLABRE1.jpg|250px|thumb|right|Mtakatifu Benedict Joseph Labré.]]
[[Image:Madonna dei Monti 01.jpg|thumb|200px|Kanisa la [[Santa Maria ai Monti]] alimozikwa.]]
'''Benedikto Yosefu Labre''' (kwa [[Kifaransa]] Benoît-Joseph Labré) alizaliwa tarehe [[25 Machi]] [[1748]] huko [[Amettes]], [[Boulogne-sur-Mer]], [[Ufaransa]] akafariki tarehe [[17 Aprili]] [[1783]] huko [[Roma]], [[Italia]] baada ya kuishi miaka mingi bila ya makao maalumu, [[hija|akihiji]] ma[[kanisa]] mbalimbali hasa kwa ajili ya kuabudu [[ekaristi]].
 
Alitangazwa na [[Papa Pius IX]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[20 Mei]] [[1859]], halafu [[Papa Leo XIII]] akamtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[8 Desemba]] [[1881]].
 
[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[16 Aprili]].
 
==Marejeo==
*Attwater, Donald and Catherine Rachel John. ''The Penguin Dictionary of Saints''. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-140-51312-4.
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.newadvent.org/cathen/02442a.htm ''St. Benedict Joseph Labre''] katika [[Catholic Encyclopedia]]
 
{{Commons category|Benoît Joseph Labre}}