George Tyson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mbegu-mtu
{{umbo}}
Mstari 1:
{{umbo}}
'''George Tyson.''' ni Muongozaji wa Filamu Nchini Tanzania George Tyson Mwenye Asili ya [[Kenya]] anaye fanyia shughuli zake nchini [[Tanzania ]]amejizolea [[Umaarufu]] Mkubwa nchini [[Tanzania]] kwa Kuongoza baadhi ya [[Filamu]] za Kitanzania na hizo [[Filamu]] ya kwanza ni Girl Friend na Dillema, Jamaa ana mtindo wa kipekee kwenye [[Filamu]] ambazo yeye anongoza mara nyingi huweka watu wazito kivipi. yaani yeye hufanya kazi na wasanii wa [[Bongo Flava ]]au Wabunge au Watangazaji hapo tu ndo amekuwa tofauti na waongozaji wengine wa [[Filamu]].