Utatu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: rm:Trinitad
No edit summary
Mstari 1:
Jina hilo la ki[[teolojia]] linatumika kufafanulia [[imani]] ya [[Wakristo]] wengi kwamba [[Mungu]] pekee, sahili kabisa, ni [[Nafsi]] tatu zisizotenganika kamwe: [[Baba]], [[Mwana]] na [[Roho Mtakatifu]]. Kwa agizo la [[Yesu]] watakaomuamini wanatakiwa [[ubatizo|kubatizwa]] kwa jina la hao watatu ([[Injili ya Mathayo]] 28:19).
 
[[Umoja]] wa Nafsi hizo unatokana na [[asili]] yake pekee, yaani Baba ambaye ndani mwake anamzaa [[milele]] Mwana kama [[mwanga]] toka kwa mwanga, kama [[Neno]] au Wazo lake ([[Hekima]]), tena anamvuvia Roho Mtakatifu kama [[Upendo]] ambao unamuunganisha na Mwana na kukamilisha umoja wao.
 
Kimsingi ni kwamba Mungu pekee anajifahamu na kwa kujifahamu anajipenda.
 
Imani hiyo ilizidi kufafanuliwa hasa katika [[karne IV]], [[mitaguso]] mikuu ya kwanza ilipochukua msimamo dhidi ya [[wazushi]] waliokanusha [[umungu]] wa [[Yesu]] na wa Roho Mtakatifu. Ilipata muundo wa kudumu katika [[Kanuni ya Imani ya [[Nisea]]-[[Kostantinopoli]] inayotumika hadi leo katika [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]].
 
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Teolojia]]
[[Jamii:Utatu]]
 
[[als:Dreifaltigkeit]]