Mbelewele : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ko:꽃가루
Nyongeza jina
Mstari 2:
[[Picha:Misc pollen.jpg|thumb|200px|Punje za mbelewele za maua mbalimbali chini ya [[hadubini]]. Ukubwa halisi ya kichwa ni [[milimita]] 2.5]]
 
'''Mbelewele''' au '''chavua''' ni punje zenye seli za kuzaa za kiume ndani ya [[maua]]. Zinapatikana kwenye chavulio juu ya stameni ya ua. Mbelewele ni lazima kwa mbegu wa mmea kujitokeza.
 
Mimea mingine huwa na mbelewele nyepesi inayosambazwa na upepo na kufikia kwenye kapeli ya ua.