Metorolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: tg:Метеорология
d roboti Badiliko: tg:Ҳавошиносӣ; cosmetic changes
Mstari 1:
[[FilePicha:WOA05 sea-surf TMP AYool.png|thumb|250px|Ramani inayoonyesha halijoto wastani ya uso wa bahari. <small>Ramani za aina hii ni tokeo ya miaka mingi ya vipimo na pia msaada muhimu kwa kuelewa utaratibu wa mabadiliko ya halihewa kama kutokea kwa dhoruba au kunyesha au kutonyesha kwa mvua</small>]]
'''Metorolojia''' ''([[Kigir.]] μετεωρολογία meteorologia kuwa [[kiing.]] meteorology)'' ni [[sayansi]] inayoshughulika habari za [[angahewa]] na [[halihewa]] na hasa [[fizikia]] pamoja na [[kemia]] husika.
 
== Tabia za angahewa ==
Tabia za kimsingi za hali ye hewa ni mwendo wa [[upepo]], [[halijoto]], [[umawingu]], [[unyevu]], [[kanieneo]], kiwango cha mnururisho wa jua, uvukizaji na nyingine. Tangu karne nyingi wataalamu wamejitahidi kupima tabia mbalimbali za halihewa na angahewa kama msaaa wa kuzielewa vizuri zaidi na kujenga msingi kwa utabiri wake.
 
== Vifaa vya metorolojia ==
Metorolojia imeanza kutokea kadri wataalamu walianza kuchukua vipimo halisi vya tabia za angahewa na kuvilinganisha. Mweleko huu ulileta kubuniwa kwa vifaa vya upimaji maalumu.
* vyombo vya kupima kiasi cha [[usimbishaji]] hasa [[mvua]] vilivyosanifishwa na serikali vinajulikana kutoka [[Korea]] mnamo [[1441]]; vilisambazwa kama msaada wa kukadiria kodi za wakulima. Hadi leo kiasi cha mvua kinachonyesha kwa mwezi au mwaka ni kipimo muhimu kwa kupanga shughuli za kilimo.
 
* vyombo vya kupima kasi na mwelekeo wa [[upepo]] kwa mahali fulani vinajulikana tangu [[anemomita]] iliyobuniwa Italia mnamo [[1450]]. Habari hizi ni za kimsingi kwa kuelewa uhusiano kati ya hali ya hewa katima maeneo majirani; ni pia muhimu kwa kupanga kilimo kwa sababu zinatawala sehemu ya [[uvukizaji]] na ni habari za lazima kwa mpangilio wa usafiri kwa [[eropleni]] na pia [[meli]].
 
* Vipimajoto vilivyofanana na vile vya kisasa vilipatikana tangu karne ya 17 na [[1724]] [[Daniel Gabriel Fahrenheit]] alianzsha skeli ya kwanza iliyoruhusu kulinganishwa kwa vipimo vya joto.
 
* Higromita ni kifaa cha kupima kiwango cha unyevu katika hewa na chombo hiki kilibuniwa 1783 na Mfaransa Horace-Bénédict de Saussure.
 
* 1960 [[satelaiti]] ya kwanza kwa upimaji ya angahewa [[TIROS-1]] ilirushwa angani.
 
[[CategoryJamii:Metorolojia|* ]]
 
[[af:Meteorologie]]
Line 98 ⟶ 97:
[[sr:Метеорологија]]
[[sv:Meteorologi]]
[[tg:МетеорологияҲавошиносӣ]]
[[th:อุตุนิยมวิทยา]]
[[tl:Meteorolohiya]]