Tofauti kati ya marekesbisho "Kiyunani"

16 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
Kiyunani - Kiswahili cha kale kwa "[[Kigiriki]]", ambayo ni lugha ya nchi ya [[Ugiriki]] ("Uyunani") au tabia za [[Wagiriki]] ("Wayunani").
 
Neno la kale limetokana na lugha ya Kiarabu اليونان likatumikiwa hasa katika matoleo mbalimbali ya Biblia. Miaka ya nyuma neno la "Kigiriki" likasambaa zaidi, kutokana na athira ya Kiingereza kinachotumia "Greek" kutokana na tamko ya Kilatini "Graeci" ambayo ni kawaida katika lugha nyingi za Kiulaya. Wanaotajwa wenyewe hujiita "Helleni", lugha yao "Helleniki".