Kaizari : Tofauti kati ya masahihisho
d
no edit summary
(nyongeza China) |
dNo edit summary |
||
==Ulaya==
Katika [[Ulaya]] yenyewe mfalme wa [[Wafranki]] [[Karolo Mkuu]] alipokea cheo cha "Caesar" au Kaisari. Baadaye wafalme [[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Ujerumani|Wajerumani]] waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya mashariki ya ufalme wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au Kaisari.
Neno la Kaisari liliingia katika lugha ya Kiswahili wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] huko [[Tanzania]]. [[Austria]] na [[Ujerumani]] zilitawaliwa hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] [[1918]] na wafalme wenye cheo cha "Kaisari" (''[[kijer.]]: Kaiser)''.
|