Venezuela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mrj:Венесуэла
No edit summary
Mstari 58:
Mbele ya pwani la nchi katika [[Bahari ya Karibi]] kuna madola ya visiwani ya [[Aruba]], [[Antili za Kiholanzi]] na [[Trinidad na Tobago]].
 
VenezueleaVenezuela ilikuwa koloni ya [[Hispania]] hadi mwaka [[1811]] na lugha ya [[Kihispania]] ni lugha ya kitaifa.
 
Kikatiba Venezuela ni shirikisho la jamhuri na [[mji mkuu]] wa kitaifa ni [[Caracas]].